- Get link
- X
- Other Apps
MWANAUME KUWA DHAIFU KATIKA TENDO LA NDOA. Kuna Mambo mengi yanayopelekea wanaume kuwa dhaifu katika tendo la ndoa. 1) Maradhi, 2) Vyakula, 3) Mazoezi, 4) Mawazo, 5) Mifumo ya mwili(Uzito, unene, kitambi nk.) Maradhi yanayosababisha udhaifu kwa mwanaume ni kama; 1) Sukari 2) Presha 3) Ngiri 4) Maradhi ya moyo 5) Bawasiri 6) Tezi dume 8) Utumiaji vilevi.... Mwenye nayo hayo asihangaike kutafuta dawa za kuongeza nguvu atafute dawa ya maradhi yake kila kitu kitakaa sawa. Vyakula: Mwanaume usipendelee vyakula vyenye mafuta mengi pia vyakula vyenye sukari nyingi pia vyakula vyenye gesi hivi ni hatari kwako bali tumia vyakula vya asili kwa wingi mboga za majani kwa wingi matunda na maji ya kutosha. Pia pendelea vyakula vya kuamsha hisia kama karanga, asali, chai, tangawizi n.k. Mazoezi: Pendelea sana mazoezi ya joging, mazoezi ya squat, mazoezi ya kuruka kamba, push up, kichurachura hujenga misuli pia hujenga pumzi. Mawazo: Epuka mawazo haswa kipindi kile unajiandaa kwenda kwenye kiwanja cha...