FAIDA ZA MIZIZI YA MSEGAMA (MIRECLE ROOT)
Mzizi huu ni zao la mmea ujulikanao kama msegama.
Faida za mizizi hii.
1. Huongeza ute na kurutubisha mayai kwa mwanamke.
2. Huongeza afya ya tezi ya kiume kwa wanaume wenye mbegu zenye udhaifu (huongeza mbegu za kiume - sperm count)
3. Hutibu maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanaume na mwanamke.
4. Uongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake.
5. Huongeza uteute kwenye viuongo vya mwili kama mgongo kiuno magoti.
6. Ni suhuhisho la chango la uzazi kwa kina mama.
7. Husaidia changamoto za UTI kwa kinamama wajawazito na pia katika kipindi cha kujifungua.
8. Ni suhuhisho la wenye changamoto ya mifupa kusagana nia kulika.
9. Ni suhulisho kwa wenye majeraha na vidonda vikubwa.
10. Ni dawa nzuri ya kuongeza wingi wa seli mwilini.

Comments
Post a Comment