Skip to main content

MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI.

 MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI. GUAVA LEAVES AND ITS BENEFITS FOR THE BODY.

1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na
kikohozi.
2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri
yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio
(allergy).
3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwa
kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi
mwilini.
4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango
cha tatizo la sukari mwilini.
5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye
matatizo ya nguvu za kiume.
6. Pia inatumika kama scrub ya uso.
Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi
na inasaidia kuondoa uchafu usoni.
7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa
ya kuponyesha tumbo la kuhara.
8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia
majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri
kwa kupunguza maumivu na kukulinda na
maambukizi ya bakteria.
9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri
yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na
mdudu na kupunguza maumivu.
10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina
uwezo wa kutibu tezi dume.
11. Kutokana na kuwa na vitamini C kwa wingi
majani ya mpera yana uwezo mkubwa wa kutibu
chunusi.
12. Chai ya majani ya mpera inasaidia kupunguza
uzito mwilini na kuzuia uharibifu sukari ndani ya
mwilini.
13. Majani ya mpera yanajaza nywele na
kurefusha nywele kwa watu wenye tatizo la
kukatika kwa nywele, unasaga na kuchemsha
kisha acha yapoe ndio upake kichwani kutoka
chini ya ngozi ya kichwa hadi kwenye ncha ya
nywele zako.
14. Ukiwa na tatizo la vidonda kwenye ufizi,
maumivu ya jino na ufizi tafuna majani ya mpera
na utaona maajabu ya majani haya.
15. Chukua majani ya mpera saga vizuri mpaka
yawe laini kabisa ongeza na maji kidogo kisha
tumia kupaka usoni kama scrub inatibu ngozi
inayoanza kuzeeka mapema.
16. Chai ya mpera inasaidia kwa kutibu
mvurugiko wa tumbo.
Pamoja na majani hayo kuwa msaada wa kutibu
maradhi mbalimbali , halikadhalika juisi ya
mapera nayo husaidia sana kutibu mgolo au
bawasiri, figo na hata kuondoa mafuta katika
moyo.
Kimsingi mti wa mpera karibu kila sehemu yake
ni tiba kwani hata mizizi yake inapochemshwa na
kutumia kwa kunywa huenda kuwasaidia
wanawake wenye matatizo ya hedhi au wenye
matatizo ya kutokwa na maji yenye harufu
mbaya sehemu zao za siri.
AHSANTENI SANA……………
Usiache ku-SHARE na wengine wapate elimu hii.




GUAVA LEAVES AND ITS BENEFITS FOR THE BODY.

1. Guava leaf tea when it cools the chest 
and cough
2. Finely crushed guava leaves
are used to treat irritation caused 
by allergies (allergy).
3. Also these guava leaves being boiled
as tea removes excess cholesterol
in the body.
4. Guava leaf tea reduces the rate
of the problem of sugar in the body.
5. Guava tea is a good medicine for those 
with erectile dysfunction.
6. It is also used as a face scrub.
Take mango leaves and grind them and 
add some water and helps remove dirt from 
the face.
7. Also, boiled guava leaves are medicine
of diarrhea stomach.
8. If you have cut yourself a little, you 
can use it.The guava leaves were washed and 
ground well
by reducing pain and protecting you from
bacterial infection.
9. Finely ground guava leaves
are used to treat the area of ​​the body   
bitten by bug and reduce pain.
10. Guava leaf tea is believed to contain
ability to treat prostate.
11. Due to having a lot of vitamin C
Mango leaves have great healing power
acne.
12. Guava leaf tea helps to reduce
weight in the body and prevent damage 
sugar inside in the body.
13. Mango leaves fill the hair with
hair extension for people with the problem 
of hair loss, grinding and boiling
then let it cool and apply it on your head
under the scalp to the tip of
your hair
14. If you have a problem with sores on the 
gums, toothache and gums chew mango leaves
and you will see the wonders of these leaves.
15. Take the mango leaves and grind them well
be completely soft, add a little water then
use to apply on the face as a scrub that 
treats the skin which starts aging early.
16. Guava tea is helpful for treating
stomach upset.
With the leaves being an aid to cure
various diseases, as well as the juice of
Guavas also help a lot to cure the sore 
throat hemorrhoids, kidneys and even remove
 fat in the heart.
Basically a guava tree in almost every 
part of it it is a cure because even its
 roots are boiled with drinking may help 
them women with menstrual problems or withproblems with discharge of odorous water
bad their private parts.
THANK YOU VERY MUCH……………
Don't stop SHARE and others can get this 
knowledge.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUPIKA UBUYU

JINSI YA KUPIKA UBUYU ♦️MAHITAJI 👉 Sukari vikombe 2 👉 Maji vikombe 2 👉 Nusu kikombe unga wa  ubuyu  👉 Vikombe 4 ubuyu wenyewe  👉 ¼ Kijiko cha pili pili ya unga  👉 ¼ Kijiko cha chumvi 👉 ¼ Kijiko cha iliki ya unga 👉 Rangi nyekundu au yeyote  utakavyopenda. ♦️JINSI YA KUTENGENEZA 1. Katika sufuria,weka maji na sukari na chumvi na pili pili ya unga na Rangi na iliki.  Moto uwe juu kiasi na changanya vyote hivyo vipike vizuri.  2. Wakati vitu vinaanza kujipika utakuta rojo linatoa mapovu. Endelea tu kukoroga acha rojo lipikike vizuri. Baada ya hapo mapovu yakianza kutulia inamaanisha kua rojo limeanza kua zito. Sasa hapo chota kidogo katika mwiko na test kwa vidole kama rojo linanata ua halinati. Rojo linatakiwa linate ndio linakua limeiva. Lisinate Sana kiasi tu.  3. Kisha mimina ubuyu wa kokwa na changanya vizuri kabisa katika rojo. Endelea kupika vizuri kama dakika 2 hivi. Kisha mimina unga wa ubuyu na changanya vizuri tena....

Jinsi ya kupika Half cake

 Jinsi ya kupika Half cake Mahitaji Unga wa ngano kikombe 1na1/2 (kama robo hivi) Sukari 1/4 kikombe Baking powder 1/2 kijiko cha chai Magadi soda (bicarbonate soda/baking soda) 1 kijiko cha chai Mafuta 2 vijiko vya chai Mafuta ya kukaangia Maji ya uvuguvugu kiasi Matayarisho Changanya unga na vitu vyote (kasoro mafuta ya kuchomea) kisha ukande (hakikisha unakuwa mgumu) Baada ya hapo sukuma na ukate shape uipendayo (hakikisha unakata vipande vinene kiasi na sio kama mandazi) Baada ya hapo ziweke sehemu yenye joto na uache ziumuke. Zikisha umuka zikaange katika moto mdogo ili ziive mpaka ndani. Zikisha iva zitoe na uziweke katika kitchen towel ili zichuje mafuta. Ziache zipoe na hapo zitakuwa tayari kwa kuliwa. dondoo muhimu:-👇👇👇👇👇 Jinsi ya kupika half keki zilizo pasuka na kuiva vizuri. 1.Hakikisha unatumia vipimo sahihi bila kusahau bicarbonate of soda(baking soda) hiki ndicho kiungo muhimu ktk half cake na baking powder...(hamira SI lazima kuweka kwa half cake za...