MAMBO 9 YA KUKUSAIDIA KUEPUKANA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME. ILI UWE IMARA KATIKA TENDO LA NDOA.
1. Fanya mazoezi - angalau dakika 30 kwa siku.
2. Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi.
3. Punguza kiwango cha cholestrol / mafuta yaliozidi mwilini.
4. Balansi uzito wako.
5. Pumzika na lala vizuri kwa mda wa kutosha - masaa 8 hadi 9.
6. Punguza mawazo.
7. Tibu magonjwa hatarishi kwa nguvu za kiume kama: Bawasiri, Vidonda vya tumbo, ngiri /hernia, pressure, sukari n.k
8. Usivute sigara, usinywe pombe.
9. Usitumie dawa zenye kemikali nyingi - huathiri mfumo wa uzazi.

10. Usiangalie video za ngono - zinakuharibu kisaikologia.
11. Epuka tabia ya kujichua - inaharibu misuli ya uume.

Comments
Post a Comment