Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2023

MWANAUME KUWA DHAIFU KATIKA TENDO LA NDOA.

MWANAUME KUWA DHAIFU KATIKA TENDO LA NDOA. Kuna Mambo mengi yanayopelekea wanaume kuwa dhaifu katika tendo la ndoa. 1) Maradhi, 2) Vyakula, 3) Mazoezi, 4) Mawazo, 5) Mifumo ya mwili(Uzito, unene, kitambi nk.) Maradhi yanayosababisha udhaifu kwa mwanaume ni kama; 1) Sukari 2) Presha 3) Ngiri 4) Maradhi ya moyo 5) Bawasiri 6) Tezi dume 8) Utumiaji vilevi.... Mwenye nayo hayo asihangaike kutafuta dawa za kuongeza nguvu atafute dawa ya maradhi yake kila kitu kitakaa sawa. Vyakula: Mwanaume usipendelee vyakula vyenye mafuta mengi pia vyakula vyenye sukari nyingi pia vyakula vyenye gesi hivi ni hatari kwako bali tumia vyakula vya asili kwa wingi mboga za majani kwa wingi matunda na maji ya kutosha. Pia pendelea vyakula vya kuamsha hisia kama karanga, asali, chai, tangawizi n.k. Mazoezi: Pendelea sana mazoezi ya joging, mazoezi ya squat, mazoezi ya kuruka kamba, push up, kichurachura hujenga misuli pia hujenga pumzi. Mawazo: Epuka mawazo haswa kipindi kile unajiandaa kwenda kwenye kiwanja cha...

MAMBO 9 YA KUKUSAIDIA KUEPUKANA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME. ILI UWE IMARA KATIKA TENDO LA NDOA.

MAMBO 9 YA KUKUSAIDIA KUEPUKANA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.  ILI UWE IMARA KATIKA TENDO LA NDOA. 1. Fanya mazoezi - angalau dakika 30 kwa siku. 2. Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi. 3. Punguza kiwango cha cholestrol / mafuta yaliozidi mwilini. 4. Balansi uzito wako. 5. Pumzika na lala vizuri kwa mda wa kutosha - masaa 8 hadi 9. 6. Punguza mawazo. 7. Tibu magonjwa hatarishi kwa nguvu za kiume kama: Bawasiri, Vidonda vya tumbo, ngiri /hernia, pressure, sukari n.k 8. Usivute sigara, usinywe pombe. 9. Usitumie dawa zenye kemikali nyingi - huathiri mfumo wa uzazi. 10. Usiangalie video za ngono - zinakuharibu kisaikologia. 11. Epuka tabia ya kujichua - inaharibu misuli ya uume.

FAIDA ZA MIZIZI YA MSEGAMA (MIRECLE ROOT)

FAIDA ZA MIZIZI YA MSEGAMA (MIRECLE ROOT) Mzizi huu ni zao la mmea ujulikanao kama msegama. Faida za mizizi hii. 1. Huongeza ute na kurutubisha mayai kwa mwanamke. 2. Huongeza afya ya tezi ya kiume kwa wanaume wenye mbegu zenye udhaifu (huongeza mbegu za kiume - sperm count) 3. Hutibu maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanaume na mwanamke. 4. Uongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake. 5. Huongeza uteute kwenye viuongo vya mwili kama mgongo kiuno magoti. 6. Ni suhuhisho la chango la uzazi kwa kina mama. 7. Husaidia changamoto za UTI kwa kinamama wajawazito na pia katika kipindi cha kujifungua. 8. Ni suhuhisho la wenye changamoto ya mifupa kusagana nia kulika. 9. Ni suhulisho kwa wenye majeraha na vidonda vikubwa. 10. Ni dawa nzuri ya kuongeza wingi wa seli mwilini.

JINSI YA KUPIKA UBUYU

JINSI YA KUPIKA UBUYU ♦️MAHITAJI 👉 Sukari vikombe 2 👉 Maji vikombe 2 👉 Nusu kikombe unga wa  ubuyu  👉 Vikombe 4 ubuyu wenyewe  👉 ¼ Kijiko cha pili pili ya unga  👉 ¼ Kijiko cha chumvi 👉 ¼ Kijiko cha iliki ya unga 👉 Rangi nyekundu au yeyote  utakavyopenda. ♦️JINSI YA KUTENGENEZA 1. Katika sufuria,weka maji na sukari na chumvi na pili pili ya unga na Rangi na iliki.  Moto uwe juu kiasi na changanya vyote hivyo vipike vizuri.  2. Wakati vitu vinaanza kujipika utakuta rojo linatoa mapovu. Endelea tu kukoroga acha rojo lipikike vizuri. Baada ya hapo mapovu yakianza kutulia inamaanisha kua rojo limeanza kua zito. Sasa hapo chota kidogo katika mwiko na test kwa vidole kama rojo linanata ua halinati. Rojo linatakiwa linate ndio linakua limeiva. Lisinate Sana kiasi tu.  3. Kisha mimina ubuyu wa kokwa na changanya vizuri kabisa katika rojo. Endelea kupika vizuri kama dakika 2 hivi. Kisha mimina unga wa ubuyu na changanya vizuri tena....

MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI.

 MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI. GUAVA LEAVES AND ITS BENEFITS FOR THE BODY. 1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na kikohozi. 2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio (allergy). 3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwa kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi mwilini. 4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango cha tatizo la sukari mwilini. 5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume. 6. Pia inatumika kama scrub ya uso. Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi na inasaidia kuondoa uchafu usoni. 7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa ya kuponyesha tumbo la kuhara. 8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri kwa kupunguza maumivu na kukulinda na maambukizi ya bakteria. 9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na mdudu na kupunguza maumivu. 10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo ...

JINSI YA KUPIKA PILIPILI YA UKWAJU. HOW TO COOK HOT PEPPER

 JINSI YA KUPIKA PILIPILI YA UKWAJU MAHITAJI 1- PILIPILI MBUZI/MWENDO KASI LITA 4 2- UKWAJU 250 GRAM 3- NYANYA /TUNGULE KG 1 4- VITUNGUU MAJI 5 VIKUBWA 5- VITUNGUU SWAUMU 1/2 KG (usinunue vya kichina) 6- PILIPILI MANGA YA UNGA VIJIKO 3 VYA CHAKULA 7- BINZARI YA UNGA VIJIKO 3 VYA CHAKULA 8- MANJANO KIJIKO 1 CHA CHAKULA 9- MCHUZI MASALA VIJIKO 3 VYA CHAKULA 10- AMDALASINI VIJIKO 3 VYA CHAKULA 11- KAROTI KUBWA 3 12-MAJI YA MOTO VIJIKO 2 VYA CHAKULA 13-VINEGAR 1/4 LITA 14-SOY SAUCE 1/4 LITA 15 -CHUMVI 100 GRAMS 16-SUKARI 50 GRAMS 17 -MAFUTA YA KUPIKA 1/4 LITA 18- UNGA WA NGANO 30 GRAMS JINSI YA KUANDAA - TOA VIKONYO VYA NYANYA,  KAROTI,PILIPILI MBUZI /MWENDOKASI NA VITUNGUU MAJI KISHA KATAKATA VIPANGE VIDOGO VIDOGO - BAADA HAPO MENYA VITUNGUU SWAUMU NA UVITWANGE MPAKA VIWE LAINI KABISA KISHA CHANGANYA KWENYE BAKULI LA VITU VYAKO ULIVYO KATAKATA - BAADA YA HAPO CHUKUA CHUPA YA SOY SAUCE NA UKWAJU WAKO MIMINA KWENYE MCHANGANYIKO WAKO NA UCHANGANYE TENA KWA MWIKO VIZURI -...

Jinsi ya kupika Half cake

 Jinsi ya kupika Half cake Mahitaji Unga wa ngano kikombe 1na1/2 (kama robo hivi) Sukari 1/4 kikombe Baking powder 1/2 kijiko cha chai Magadi soda (bicarbonate soda/baking soda) 1 kijiko cha chai Mafuta 2 vijiko vya chai Mafuta ya kukaangia Maji ya uvuguvugu kiasi Matayarisho Changanya unga na vitu vyote (kasoro mafuta ya kuchomea) kisha ukande (hakikisha unakuwa mgumu) Baada ya hapo sukuma na ukate shape uipendayo (hakikisha unakata vipande vinene kiasi na sio kama mandazi) Baada ya hapo ziweke sehemu yenye joto na uache ziumuke. Zikisha umuka zikaange katika moto mdogo ili ziive mpaka ndani. Zikisha iva zitoe na uziweke katika kitchen towel ili zichuje mafuta. Ziache zipoe na hapo zitakuwa tayari kwa kuliwa. dondoo muhimu:-👇👇👇👇👇 Jinsi ya kupika half keki zilizo pasuka na kuiva vizuri. 1.Hakikisha unatumia vipimo sahihi bila kusahau bicarbonate of soda(baking soda) hiki ndicho kiungo muhimu ktk half cake na baking powder...(hamira SI lazima kuweka kwa half cake za...